donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Ahsante Mkuu! yaani imekubali kirahiiisi! Be Blessed na endelea kutuletea vitu vikali!!
aise mdau....nimekusoma...yangu inafail ku download application...ina download ikisave ina same jar error?? can u help
Thanks bro imekubali pamoja sana ngoja nianze ku download.
Mi mbona nikiiweka hyo namba inakataa?
Je mm mimi mwenye nokia 3120c mtanisaidiaje kila niki_download game lenye Ukubwa kuanzia 1.3mb linagoma naandikiwa "file is too large to be stored"
any help plz
mkuu una usb cable yake na pc suite?
yap! Ipo
Mkuu Mimi nina Samsung D 780 Tafadhali haya maujanja uliyotoa yanaweza kubali,natanguliza shukrani tele.
wakuu kwa wale wenye simu za samsung za kawaida, sometimes unaweza ukawa unataka kudownload application yenye ukubwa zaidi unaambiwa 'can't install, jar maximum reached'. sasa kuondoa hii kero fanya hivi
piga *#52828378# itakuletea menu fulani. nenda kwenye OTA test halaf kwenye size set unayoipenda eg. 2000KB then save. You are good 2go, go back and install ur app and enjoy!