SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Kama kweli Dr Magu na team yake wana nia ya kumaliza ufisadi, na pia kuweka uchumi wa nchi hii katika mikono ya wananchi wote, katiba ya walioba mdo suluhisho na si haya maigizo ya cheap popularity.
kila mtu anatafuta umaarufu kwa kutumia style ya kufukuza na kusimamisha watu kazi, mawaziri wanashindana nani kafukuza wengi Zaidi au kasimamisha wengi kuliko mwenzie.
mambo ya muhimu kama uchakachuaji wa katiba ya wananchi ambayo ndo msigi wa kubadili mfumo wa kifisadi yamenyamaziwa instead ni misifa ambayo haitufaidishi chochote wananchi wa kawaida.
Huwezi kusema unakemea ufisadi alafu unasupport katiba isiyo na miiko ya uongozi, katiba isiyo na tuNu za taifa, katiba isiyo na itikadi ya nchi, KATIBA inayonyima wananchi nguvu ya kuwawajibisha viongozi wanaowachagua, katiba iliyosimamiwa na CHENGE ambaye unajisanifu mbele za watu kuwa ulikataa kumnadi kwa sababu ni fisadi.
MSINGI WA NCHI NI KATIBA na kama dhamira yako ni ya kizarendo , amuru rasimu ya kwanza ya ndugu warioba irejeshwe katika mchkato
Haya maigizo mnayofanya kwa wenye HEKIMA MNATUTIA AIBU