Kwa wazee wa singeli...

Kwa wazee wa singeli...

Jamani wakuu nautafuta Sana ule wimbo kina sehemu anasema viroba tupa kule saivi mwendo wa Savannah pls mwenye nao naomba anitumie
Utafute Youtube...
Unaitwa "kisimu changu".
Kaimba "mzee wa bwax".
We kisimu changu laini mbili kinanisevu bwanaaaaahh...
 
Back
Top Bottom