Kwa Wazazi Tu!

Kwa Wazazi Tu!

If so why is it still applicable up to date wakati clinic zimezagaa kila kata, ukweli bado unaonesha kua kuna imani flani ina exist ktk kutumia hivyo vikamba

Hapo umenena mkuu. Mimi mwenyewe niliuliza baada ya kuona watoto wadogo wa majirani zangu wote wamevalishwa. Nilimuuliza mmoja wa wazazi wa hawa watoto kwanini kamvalisha ila hakunipa jibu la maana zaidi ya kuchekacheka na kunijibu ni kinga. Wengi wape, NI USHIRIKINA.
 
Back
Top Bottom