Kwa Wazazi Tu!

wala havina madhara yoyoet kama unaamini kwa Mungu ila kama hauamini madhara ni makubwa,hivyo majibu ya swali lako yanategemea na wewe uko upande gani katika imani.Ka wakrito mtoto akishabarikiwa hakuna shida kbs.
 
Na mtoto wa kiume anatengenezwa figa???

Mie najua wqanavalishwa kama kipimo cha uzito wa mtoto

wanavisha watoto wa kike kiunoni kwa mtoto wa kike ili kinuo kipate 'Figure',kweli yote haya nafanywa kwa imani na ni watu wa aina fulani bado wanawafunga watoto wao ,lakini kwa wasomi hawana imani hiyo.
 
wengine wanasema ni kitovu cha mtoto kinapotoka wanakifunga kwenye kamba na kumvalsha mtoto sasa khapo sijuhi kinatibu nini
 
Mimi Mwanamke anayevaa shanga simtaki sembuse ndio uniambie mtoto wangu avalishwe hizo kamba za kishirikina? ujinga mtupu.
 

Na kwa nini choo cha shimo na isiwe jalalani kwa mfano????? Huu sio ushirikina??????

You are just too judgemental........msome madama Kongosho kwa ufasaha na uwe na room ya kujifunza mila za wengine
 
Mimi Mwanamke anayevaa shanga simtaki sembuse ndio uniambie mtoto wangu avalishwe hizo kamba za kishirikina? ujinga mtupu.
Mkuu Matola......vipi anayevaa cheni ya dhahabu
Mshirikina ni yupi kati ya anayevaa kamba hii......anayetembea na tasbihi au anayevaa rozari????

Aghalabu mjinga ni yule asiyejua maana ya kitu na bado akadhani anachoelewa yeye ni sahihi kuliko vya wengine...a na akahukumu kwa vigezo vyake na si uhalisia wa muda wala sehemu husika....kwani hayuko tayari kuhoji na kutambua wanavyoelewa wenzake hata kama ni tofauti na anavyoelewa yeye....anaitwa ethnocentric
 
Usinipeleke huko tafadhali, kuna imani za kigaidi zimeshaingia nchini kwetu. nilichosema mimi Mwanamke wangu kuvaa shanga marufuku hayo mengine ni ya kwako usinirishe maneno.
 
ni imani tu za ajabu ajabu ambazo hazifai hata kidogo ..mie sikushauri kuwavalisha watoto hayo makitu ..ni kuwaweka kwenye maagano na mambo ya kishetani ..
 
Matola@ kama hayo ndo ulimaanisha then uliandika zaid ya hayo kimantiki............be ware na labelling...!!!!!!!!!

Na zinapotajwa imani kuu mbili ndo huwa mnastuka saanaaaa............ila za wenzenu ni ushirikina sio??????
 
ule ni uchawi.
 
Mtoto mwenye hizo vitu wala havutii kumbeba, binafsi ntasema hata nina mafua.
Afu kuna wanaovalisha vitoto vya kike ushanga kiunoni. Proudly african but with limitations.
 
nina watoto wawili na kati yao hakuna hata aliye wahi kuvaa hicho kitu na wamekua vizuri tu!big gals now.
 
Utamaduni huu unaakisi kiwango duni cha elimu ya wazazi...huambatana na imani za kishirikina
kuwa eti hiyo kamba nyeusi ni kinga dhidi ya watu/mashetani/wachawi ambao wanania ya kumdhuru mtoto.
Mtu akifanya utafiti kwenye familia ya watu wenye kuvalisha watoto wao vitu hivyo atagundua familia hizo zimekuwa
watumwa wa imani potofu...kiwango cha elimu ni duni sana na mara nyingi umasikini umekuwa ukiiandama familia hiyo.
 
Mie sijawahi vaa wala mwanangu sijawahi mvalisha. What I know and believe there is some magic in everything black. Ukivaa/ukijifunga kitu cheusi mchawi hakudhuru.(kwa wale tunaoamini uchawi upo). Pia huoti ndoto za kutisha (jinamizi)
 
If so why is it still applicable up to date wakati clinic zimezagaa kila kata, ukweli bado unaonesha kua kuna imani flani ina exist ktk kutumia hivyo vikamba
 
Kama u mshirikina kamba zile humaanisha zindiko asirogwe. Ila hazina umuhimu wowote.
 
Vitu hivi vinaenda na imani. Wanaowavalisha meas kuna imani wameijenga ndani ya kamba hzo juu ya usalama wawatoto wao. Km imani yako haiko huko DON'T. Km unadhani vitakusaidia kwa watoto wako then DO. As 4me NO and NEVER.
 
Ni imani ya kiafrika tu ila kwa kweli haina maana yeyote labda wanaona ni ornament lol chezea UWANGA wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…