Kwa wauza laptop

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,163
873
Habari wakuu najua hapa mbali na watafuta kazi kuna wafanyabiashara kwa yeyote anaeuza laptop kwa bei nzuri plz naomba unipm nataka aina ya dell, hp, samsang au sony ya bei rahisi plz nipm tuwasiliane thanx
 
altaaf

Senior Member
Sep 15, 2009
189
67
Habari wakuu najua hapa mbali na watafuta kazi kuna wafanyabiashara kwa yeyote anaeuza laptop kwa bei nzuri plz naomba unipm nataka aina ya dell, hp, samsang au sony ya bei rahisi plz nipm tuwasiliane thanx

mkuu laptop zipo kuna hp dv6 15:6 inch,zipo mbili , sony viao 15 inch ipo moja, toshiba 15:4inch na dell 15:4inch moja ila bei rahisi ndio shilling ngapi funguka zaidi nikupe more details. kama upo serious.
 
Zugak17

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
1,139
359
Mi Namba yangu ni 255768501214 nataka Laptop Used ila iwe na 2GB RAM na 4GH processor pia na HD yenye angalau 80GB
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom