Kwa watumiaji wa Ucbrowser!

Fekifeki

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
1,550
Reaction score
700
Kuna tatizo limetokea kwenye simu yangu wakuu, yani kila nikifungua Jamiiforums sipati picha, avatars wala kitufe cha 'like', hutokea pale nitumiapo Ucbrowser. Hili tatizo limetokea karibia mwezi mmoja na nusu hivi umepita!! Wakuu ni kwangu tu au ni kwa wote watumiao uc browser?? Naombeni msaada wenu! Asanteni.
 
kwan kwenye Mobile browser kuna avatar!? Au mayb unatumia mobile version
 
kwan kwenye Mobile browser kuna avatar!? Au mayb unatumia mobile version

Avatar zipo ukifungua desktop version unapata avatar. Tatizo la kutopata avatar nadhani ni la mtandao kwa sababu hata mimi huwa linanitokea nyakati fulani. Hata hivyo sijui huyu jamaa kama analo tatizo tangu aanze kutumia uc browser au lilianza baadaye. Labda atafafanua.
 
Kama mmenielewa wakuu kabla ya hapo hivyo vitu vilikuwepo, tokea tatizo lianze ni zaidi ya mwezi mmoja. Kwenye simu huwa natumia 'Desktop Version'. Nikitumia 'Operamini' napata vyote, namaanisha 'avartars', 'picha' na 'like'. Tatizo tu Operamini kwangu ipo slow mno! Kuhusu simu za Kichina mimi huwa situmii vitu FEKI Kama ilivyo ID yangu! Hiyo ni kinyume chake. Yawezekana ni tatizo la JF Kwa sababu mitandao mingine huwa inakamata vizuri kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…