frozen
Senior Member
- Aug 12, 2010
- 135
- 32
Habari friends,
Nlikuwa naitaji tablet, lakini tab ambayo nimeipata kwa sasa ni playbook ya blackberry, ambayo inatumia wifi tu..so napenda kufahamu kama kuna mdau yeyote anayeitumia hapa tz na ku share experience yake especialy kwenye upande wa kupata internet, sababu wifi hapa kwetu upatikanaji wake bado mgumu...pia kwenye upande wa device yenye..kama inaweza kidhi haja kwenye upande wa ku browse na apps zake.
Asante and lets share.