Kwa watumiaji wa smartphone hii simu imeshaingia bongo?

Kwa watumiaji wa smartphone hii simu imeshaingia bongo?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
311-3-jpg.jpgkwa watumiaji wa smartphone jamani hizi nokia asha 311 zipo hapa kwetu na vipi kuhusu bei anayejua tafdhali
 
s40 sio os jamani ni platform

nokia ana platform hizi
-s30 ambayo ni simu za basic kuliko zote mfano nokia za tochi.
-s40 ambazo nyingi ni java
-s60 nyingi symbian
-s80 symbian pia

os za nokia ni
-nokia os (informal name) ambayo ndo java
-asha touch os (smartphone mpya za java)
-symbian os
-maemo na meego os

apart from hizo hamna os nyengine.
 
Back
Top Bottom