Kwa watumiaji wa FB

Ni upuuzi tu. Mtu mmoja ana account 20 hivyo hilo si tatizo ila wanapoteza muda. Wapiga kura wapi wametulia wanasubiri siku ya uchaguzi ifike. Wataenda kupiga kura vizuri.
Wasusiaji waendelee kususia maana ni hali ya kila mtu (demokrasia) kuamua mwenyewe kupiga kura kuchagua Serikali waitakayo, au acha kupiga kura ili wengine wakuchagulie Serikali itakayo kuongoza.
Ukitaka kuzuia wengine wasiende kupiga kura, vyombo vya Usalama vitafanya kazi yake
 
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1749139137988.jpg
    34.5 KB · Views: 8
unasemaje eti gentleman?πŸ’
 
Isiishie comment tu iwe mpaka kuweka mpango wa kuitangaza mtaani live kwa namna ya amani
 
NO REFORM NO ELECTION
 

Attachments

  • 1747656684574.png
    347.9 KB · Views: 7
Yes, unamfollow mtu ambaye hatoi maoni yoyote kuhusu madhila mnayopitia kama taifa ili iweje wakati anafaidika na kumfollow kwako si heri tufollow wale ambao wana nasaba na tunachokipigania !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…