Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
Wakuu,
Hivi majuzi nimeanza nimeanza kujifunza kutumia Ae sasa shida ninayoipata ni kuwa nikiiport video ina play kwa sekunde 14 hivi na haiendelei tena. Nimejaribu kubadilisha duration katika composition settings lakini haijasaidia. Nimejaribu ku adjust duration katika layer yenye hiyo video lakini haijasaidia pia.
Na kingine ni kuwa, nikijaribu kushusha frame rate hadi 8fps kwenye compsition settings video ina play hadi sekunde 40 hivi na nikiziongeza hadi 50fps inakuwa fupi zaidi.
Taharifa za ziada.
Video ninayotaka ku edit ina 50fps.
Msaada tafadhali