Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu wanaohudumia wengi ni wa kutoka ARUSHA NA SINGIDA na wanahudumia huduma zote, sasa naomba wenyeji wa mikoa hiyo au wazoefu wanaoijua wanisaidie,JE KATIKA MIKOA HIYO WAKINA DADA WENGI WANAPENDA KUSOMEA UBAMEDI?ni hilo tu nataka kujua.
Mkubwa! Ingetakiwa uwatake radhi wenyeji wa mikoa ulizotaja radhi kwani inaonekana una DHARAU sana na ulilosema siyo kbs kwani Mi nimeshatembea karibu kila mkoa ila sijawahi kuona kama ni watu toka mikoa tajwa hapo juu ndiyo wanaitumikia kazi hiyo,Mi kama mimi ningependa uwatake radhi haraka sana wenye hao la sivyo tafakari tena upya ndiyo uje humu.
Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu wanaohudumia wengi ni wa kutoka ARUSHA NA SINGIDA na wanahudumia huduma zote, sasa naomba wenyeji wa mikoa hiyo au wazoefu wanaoijua wanisaidie,JE KATIKA MIKOA HIYO WAKINA DADA WENGI WANAPENDA KUSOMEA UBAMEDI?ni hilo tu nataka kujua.
Kujua kitu/vitu kuna faida nyingi sana,sijui we mwenzangu unasemaje?
Sisi huku kwetu kigoma karibia kila bar mabamed ni ni wahaya, watu kutoka bukoba, karagwe nk. Kama huamini nenda bar maarufu hapa kigoma kama KIZOTA, BREAKPOINT, MASANGA GARDEN nk, ujionee.