Kwa watu wa movie tu: Wazungu wanajua jamani. I can't watch Blacks

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something

Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..

Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...

Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks

Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....

Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)
 
Umeona the oval mkuu ?
 
Umemkosea heshima tyler perry.... Nenda katazame if loving you is wrong... Ukiwa katikat nenda kacheck haves and haves not.. Kabla hujamliza nenda kacheck the ovals

Ikimaliza hzo series bila shaka utakuja ku edit uzi wako..
Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something

Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..

Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...

Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks

Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....

Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)
 
Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something

Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..

Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...

Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks

Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....

Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)
Me mwenyewe movie za Tyler perry hazijawahi kunisisimua hata kidogo,
 
Avnger Endgame bajeti yake $356 Million. Pesa inayoweza kututoa kwenye umaskini watanzania wote imewekwa kwenye Muvi.
Bongo kuna muvi hata mil 10 Tsh?
'Avnger Endgame bajeti yake $356 Million. Pesa inayoweza kututoa kwenye umaskini watanzania wote'.

Pesa ndogo hio mkuu,haiwezi kututoa wabongo wote kwny umaskini,ila kwny movie hio ni budget kubwa.
 
IMG_4271.jpg

IMG_4267.jpg

IMG_4268.jpg

IMG_4269.jpg

IMG_4270.jpg

IMG_4266.jpg

IMG_4265.jpg

IMG_4264.jpg

IMG_4263.jpg
 
Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something

Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..

Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...

Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks

Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....

Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)
Tyler Perry ni Bongo Movie aliyechangamka
 
Tyler Perry ni Bongo Movie aliyechangamka...
 
Blacks mi mwenyewe wananishinda sana. Kuna ule mtindo wao wa kulenga bastola kwa kuiweka horizontal ndiyo hunichefua kabisa. Niliwahi fuatilia kwanini wanafanya vile sikuona sababu ya maana. Pia huwa wanaoverdress hadi inakuwa kituko.
Lakini wapo waigizaji wengi mablack wanaigiza poa sana sema movie ikiegemea maisha ya mablack ndiyo huwa shida.
 
Kuna huyu mtu Idris Sultan.... Akiendelea na zile episode zake akazifanya zikawa movie nahisi ni mtu anayekuja kufanya mapinduzi kwasababu ukiiangalia, ubunifu ni mkubwa
 
Back
Top Bottom