Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,312
- 24,170
Sisi blacks hatuigizi........tunafanya kweli!Mim naangalia sana movie had najihis perhaps my call was to be a movie director or something
Ila sasa movie za wenzangu weus.huwa napata shida sana.hazina uhalisia yaan katika acting ..naona hawawez kabisa.ni blacks wachache sana wanajua..labda sabab jamii zetu weus ziko nyuma kimaendeleo..i dont know...ila siwez kaa naangalia movie serious za blacks..especialy zile production za tyler perry..siwez.naona kama bongo movie yan..
Wel hzo bongo movie or nigerian ndo kabisaaa.siwez hata thubutu...
Soooo..nihitimishe kusema kwamba wazungu wame wekeza jaman kwenye nyanja zote...hatuna budi kufanya hvyo nasis blacks
Oh nilisahau.na wahind or korea or china pipo.siwez watch movie hzo....
Uzi tayar....(zingatia...nna shots kadhaa za vodka hapa)