Sisikwetunchi ya neema,chakula sikitu cha adimu.
Hata kiasiliukiwa unapita njia tu, imefikajioni, hujafikaunakoenda, umefikakwa Msukuma, lazima akupikie,ukiondoka bila kula ni kama umemtukana.
Nikirudilikizohuko najiandaakulakilanyumba, hata kamaumekula unaambiwa ule tena.