Thiago Silva
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 322
- 177
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa kesho, leo ingekuwa ijumaa
Je? mwalimu alisema hayo maneno siku gani?

aliongea j.pili
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa kesho, leo ingekuwa ijumaa
Je? mwalimu alisema hayo maneno siku gani?
jana ya jumapili ni j.mosi na kesho ya j.pili ni j.3 xaxa apo ijumaa inakujaje mkuu?
Jumatano
Nakupa mji nenda mwanza . Haya tupe jibu basii
jumatano. kama jana j4 ingekua kesho alhamis! leo ingekuwa ijumaa
Yaani ijapo umeuliza swali ila upo chali kabisaaa...
Ukisema jumatano unamaanisha hivi" Kama jumanne ingekuwa kesho leo ingekuwa jumatatu"
Usikariri jibu ni jumatano jiulize kwa utulivu zaid kwanin useme ni jumatano.