Kwa Watanzania Wazalendo Tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Watanzania Wazalendo Tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chifunanga, Jan 31, 2011.

 1. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hivi wadau, nani anafahamu kwa nini kuna mgao wa umeme sasa hivi? Kama kuna wafanyakazi wa TANESCO humu ndani, tunaomba watusaidie kujibu hili pia.

  Je kuna upungufu wa kina cha maji?

  Au kuna generator au mashine fulani imeharibika?

  Au ni nini haswa?

  Cha ajabu kuna watu wengi sana ambao wanajua kuna mgomo, lakini hawajui kabisa kwa nini kuna mgao, na wengi hawajajaribu hata kutafuta kujua kwa nini tunamgao, ila wengi wanalalamika tuuuu.

  Nimeona kitu hichohicho kikitokea kwenye kutaka katiba mpya, wengi wetu hatuijui kabisa katiba ya zamani, sasa sielewi tutatakaje katiba mpya?? tunataka katiba mpya au vipengele fulani vya katiba ndio vibadilishwe?

  Je ni haki mtanzania kujiita mzalendo na kukemea mafisadi wakati huna data ya aina yoyote? hata umeme unaokugusa moja kwa moja hujui wala huulizi kwa nini unakatika?

  naomba kuwasilisha
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  So what
   
 3. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, kuna umuhimu wa kuuliza kwa nini umeme unakatwa mara kwa mara.
  Lazima tupewe sababu kwa hilo.
   
 4. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  the power of free will.....some you win, some you lose.....we lost this one.
   
 5. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Juzi niliwakuta vijana wanaongelea suala la umeme, mmoja anawaambia wenzake kwamba -kama hali hii bora tu hao dowans walipwe tuwashiwe umeme- kwa maana hiyo uswaz tunajua tatizo ni dowans.
   
 6. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni makafiri walioko serikalini wanaihujumu serikali ya jakaya kikwete kutokana na kuwaogopa kwake nae amewanyamazia kimya.
   
 7. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mbona Waislam wenzako wa Tunisia,Egypt, wanautu hasa kwa maslahi ya taifa? Au wewe akili zako zipo matakoni? Au ni bibi yake RA? Nani amhujumu mkwere, ushoga wake,utuumize watanznia,then tukae kimya,ndo tuonekane wazalendo kwa kikwete? Acha upumbavu..
   
Loading...