hiyo ps ipo jailbroken na multiman ipo?Kama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games
mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila kwangu aioneshi magemu zaidi ya nyimbo pamoja na picha tuu ila magame ayaonikani yani inakua kama ainakiitu
NAOMBA MSAADA WENU WANA JAMII
Haya "wataharamu" saidieniKama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games
mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila kwangu aioneshi magemu zaidi ya nyimbo pamoja na picha tuu ila magame ayaonikani yani inakua kama ainakiitu
NAOMBA MSAADA WENU WANA JAMII
PS yako ni super slim (inafunguka kwa juu) au slim(inameza CD)i
la nikiweka kwa rafiki yangu inakubali
Then kama kwenye app or game screen hamna app inayoitwa multiman au inajua hijawai PS kushikwa na fundi kwa kusudi ya Kui chip(jailbreak) then hujue mpaka iwe jailbrokeninafunguka kwa juu super slim
Ingia kwenye ile chata ya multiman alfu select install to my HDD then tayariMi na swali juu ya namna ya kuinstall hizo games katika jailbroken ps3