mkali mimi
Member
- Aug 7, 2012
- 78
- 15
Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification? au chochote? je ni safe kuconnect kwa ajili ya nyumba nzima?? (taa tu, kama 8 ivi) if possible naomba kujua any additional low cost device kinachoweza kuhitajika. Thanks.