Kama ni kuanzia android 7 kushuka chini kimeo chake ndio hicho sasa basi cha kufanya ingia google download Apk za hizo app zinazogoma udownloa zile Apk za zamani kulingana na android ya simu YAKO search KWA kuandika hivi jamii forum Apk for android 6 kama simu YAKO ni android 6 hapo watakuletea hiyo Apk udownload kisha mambo yanakuwa safi.
Bwana YESU asifiwe