Kwa wataalamu wa mitandao na free mobile tracker

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
440
504
Nimepotelewa na simu yangu aina ya samsung s4 ..lakini ndani nilifanya installation ya free tracker nawezaje kuiblock ile simu naogopa confidential document zikasambaa wakuu...
Nawasilisha
 
huwezi iso sahau ingekuwa iphones sawa lakini android no.
 
Kama Una imei namba nenda. Kama huna ndio baasiii. Hukuiweka protection yoyote?? Kama pin code,password au pattern?
 
Sio box tu hata ukijua IMEI na una resit ya simu waweza saidiwa ila gharama sijui ni kiasi gani,
Pili. Kama uliweka mobile tracker je simu ilikuwa rooted? Na uliiweka kama system app au uli install tu kawaida?
 
Niliinstal tu kawaida...simu sikuwah kuiroot mkuu
Ile mobile tracker inanipaga sms..location n.k
 
Kama ni hivyo samehe tu mkuu.
Maana hapo jamaa aki hard reset kila kitu kitafutika.
Angalau ungekuwa ume root, then hiyo ant theft ikaiweka kama system app.
Hapo inge mlazim kwenda kuflash kama akijua hiyo app ipo ktk simu.
 
nimepata somo apa aisee....nashukuru
 
Ingia kwenye gmail account yako na kama hajafuta na kuiondoa account yako unaweza kuweka pattern au kufuta kilakitu, au kutuma virus ambaye atakuwa anaongea maneno utakayoyatuma mfano thief ile akiwasha tu inaanza kuzomea mwizi.
 
Dah! hiyo nzuri unatumia app gani kufanya hayo!!??
 
Gmail account hakuna app. Yaan unaweza kupata location ya simu yako ilipo kwa kutumia gmail account
 
Kama ni hivyo samehe tu mkuu.
Maana hapo jamaa aki hard reset kila kitu kitafutika.
Angalau ungekuwa ume root, then hiyo ant theft ikaiweka kama system app.
Hapo inge mlazim kwenda kuflash kama akijua hiyo app ipo ktk simu.
Asante mkuu hanspol
 
Ingia kwenye gmail account yako na kama hajafuta na kuiondoa account yako unaweza kuweka pattern au kufuta kilakitu, au kutuma virus ambaye atakuwa anaongea maneno utakayoyatuma mfano thief ile akiwasha tu inaanza kuzomea mwizi.
Kuna app maalumu kule?
 
Tumia device manager kama simu yako haijawa rooted utaweza kuifanya ipige kelele au ifute data zako zote pia utafahamu ni wapi ilipo
 
Km unayo IMEI namba basi ww nenda kituo cha polisi cha central watakusaidia n fasta utaipata simu yk
 
Back
Top Bottom