kwa wataalamu wa card za dvd player

kwa wataalamu wa card za dvd player

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
jamani et inawezekana kuweka usb system ktk dvd player ambayo haina port ya usb? Maana nina dvd hapa lens yake haipatikan na nataka kama inawezekana niweke ivo ila nmehangaika sana ila imegoma
 
Mkuu,kama ni mtaalamu wa embedded systems unaweza kuweka USB interface iwapo microcontroller au microprocessor inayoendesha DVD player ina nafasi ya kuongeza kwenye ROM, firmware ya kuendesha na ku-play media files kupitia USB port pia ujue hardware communication protocol, ambayo utaitumia ku-interface USB Media player yako kwenye existing DVD player. DVD player nyingi sasa zinatumia SPI communication protocol kwa mawasiliano ya hardware zilizomo kama microcontroller/microprocessor, ROM, RAM n.k., wakati zingine zinatumia I2C communication protocol. Hii ni rahisi kama utakuwa na source code iliyotengeneza object code(firmware) ya hiyo DVD Player, vinginevyo inabidi ujifunze hardware architecture ya hiyo DVD player na kuandika program mpya ya kuendesha na USB interface kwa ajili ku-play media files.
Ukibahatika,ukute kuna support ya manufacturer wa hiyo DVD player,akaweka kwenye website yake, upgraded firmware yaku-play media files kupitia USB port, na ametoa schematic ya hardware zinazotakiwa kuongezwa, kazi itakuwa rahisi. Au upate card ambayo imetengenezwa maalum kwa ajili ya hiyo kazi uipachike ndani ya hiyo DVD player.
 
Yeah, kama mdau alivyosema. njia rahisi ni kutafuta universal DVD player Main PCB (Ambayo ni chinese) then uipachike kwa ndani, ingawa kama DVD player yako ni Original basi inaweza kulazimi kubadili Powersupply na remote.
 
Back
Top Bottom