Kwa wataalam wa paypal naombeni ushauri

komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Messages
1,074
Points
1,225
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2013
1,074 1,225
Wakuu nimejisajili paypal karibia mwezi sasa lakini akaunti yangu haijawa activate ,wamenitumia email wanadai kuna baadhi ya vitu inanibidi nikamilishe ili akaunti iwe activated,tatizo liliopo hivyo vitu nimeshindwa kuvielewa so nahitaji msaada vitu venyewe hivi hapa
Date LimitedRequired ResponseStatusAction
Oct 23, 2014Confirm your bank accountConfirm your bank account to help confirm your identity.
Waiting for your responseResolve
Oct 23, 2014Provide a copy of a pre-printed bank statement or voided cheque for each bank account linked to your PayPal account.Provide a copy of a bank statement or voided cheque from your bank account with the organisation's name and address pre-printed on it.Waiting for your responseResolve
Oct 23, 2014Provide evidence of non-profit registration with any applicable regulatory bodyEvidence of tax exempt status, non-profit organisation registration status or any non-profit organisation certificate issued by a local regulatory body.Waiting for your responseResolve
Oct 23, 2014Organization and Payment InformationPlease provide us with information about your business.Waiting for your responseResolve
Oct 23, 2014Check Email for Additional Required DocumentationWe will send you an email explaining what we need from you to appeal the account limitation.Waiting for your responseResolve
Resolution Center cases
Download Resolution Center case report
 
Joe Nyandigira

Joe Nyandigira

Verified Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
626
Points
225
Joe Nyandigira

Joe Nyandigira

Verified Member
Joined Feb 22, 2012
626 225
Inaonesha umefungua business acct ya non profit organization
Hivo shutuka kua wewe ni mdanganyifu
rafiki hasomi maelekezo. labda anayo org ila nahisi hajasoma maelekezo.

majibu ya maswali yake yapo hapo hapo
 
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Messages
1,074
Points
1,225
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2013
1,074 1,225
Inaonesha umefungua business acct ya non profit organization
Hivo shutuka kua wewe ni mdanganyifu
mkuu kwa hyo hpo nafanyaje au nisajili upya maana hizo document wanazohitaji sina......naku pm now kuna ishu nyingine natka tuongee
 
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Messages
1,074
Points
1,225
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2013
1,074 1,225
rafiki hasomi maelekezo. labda anayo org ila nahisi hajasoma maelekezo.

majibu ya maswali yake yapo hapo hapo
sina hyo org nadhani nilijichanganya wakati nasajili hyo maelezo nimeelewa wanahitaji document ili kusibitisha kuwa hyo org ipo... so far nafanyaje au nianze upya kusajili
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,657
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,657 2,000
sina hyo org nadhani nilijichanganya wakati nasajili hyo maelezo nimeelewa wanahitaji document ili kusibitisha kuwa hyo org ipo... so far nafanyaje au nianze upya kusajili
uko nchi gani?
Kama upo TZ hiyo account umetumia PayPal page ya Kenya,US au wap?
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,657
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,657 2,000
npo dar mi nimefungua paypal km paypal.com ckuiangalia ya nchi gani
Umechemka mkuu
PayPal ya bongo piga ua garagaza hauwezi kuwa na option ya ku receive funds hivo ni useless
siku zote fungua yenye url paypal.com/ke/ au nchi nyingine wanayokubaliwa paypal

komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Messages
1,074
Points
1,225
komeka

komeka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2013
1,074 1,225
Umechemka mkuu
PayPal ya bongo piga ua garagaza hauwezi kuwa na option ya ku receive funds hivo ni useless
siku zote fungua yenye url paypal.com/ke/ au nchi nyingine wanayokubaliwa paypal

mkuu mjuwa we mbongo au mkenya? hii ishu haiwez kuja kuzingua baadaye wakigundua kuwa haupo kenya?
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,657
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,657 2,000
mkuu mjuwa we mbongo au mkenya? hii ishu haiwez kuja kuzingua baadaye wakigundua kuwa haupo kenya?
Sidhani...
Ila inategemea siku ikitokea error wakaomba vitambulisho vyako hapo utakoma dawa yake kila ikifika e.g 100$ una withdraw
Hii trick ni nzuri sana na unaweza kutumia Majina ya Mkenya mnae elewana ili siku wakidai National Id unatumia ya jamaa
 
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
3,335
Points
1,500
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
3,335 1,500
Sidhani...
Ila inategemea siku ikitokea error wakaomba vitambulisho vyako hapo utakoma dawa yake kila ikifika e.g 100$ una withdraw
Hii trick ni nzuri sana na undaweza kutumia Majina ya Mkenya mnae elewana ili siku wakidai National Id unatumia ya jamaa

Haiwezi kuzingua ila unachotakiwa ni kuwa makini sana na kila huduma unayotakakuifanya. Ukiwa mara kwa mara unakosea baadhi taarifa ndiyo wanafunga account yako na kuanza kukutrack
 
Paje

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Messages
1,197
Points
1,195
Paje

Paje

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2010
1,197 1,195
Sidhani...
Ila inategemea siku ikitokea error wakaomba vitambulisho vyako hapo utakoma dawa yake kila ikifika e.g 100$ una withdraw
Hii trick ni nzuri sana na unaweza kutumia Majina ya Mkenya mnae elewana ili siku wakidai National Id unatumia ya jamaa
nilivyokuwa najua paypal accounts ni country specific. hawacheki IP kama ni kenya au TZ? wewe unatumia vyema? bila ya tatizo lolote?
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,657
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,657 2,000
nilivyokuwa najua paypal accounts ni country specific. hawacheki IP kama ni kenya au TZ? wewe unatumia vyema? bila ya tatizo lolote?
Yaa ni kweli hawacheki IP adress ki vile maana hata uwe kwenye VPN bado unaweza kufanya trasaction kwa paypal yako bila shida
Ila sasa page ya kenya na TZ ina properties tofauti e.g ya Tanzania kwa kua hatupokei hela basi ukiwa na business account hauwezi kupewa options kama Withdraw,request money etc lakini ya Kenya(www.paypal.com/ke/) ina features kama hizo

Unachofanya kipindi una sign up ukiwa unatumia ISP wa TZ wata detect upo TZ hivo nchi watakuwekea TZ lkn unaweza badili ukaweka nchi nyingine inayopokea hela,mm nilichukua Kenya na adress nikaweka kama niko Mombasa

Baada ya ku sign up nikajitumia 2$ kutoka paypal yangu ya Bongo na hela zikafika, hii nilikua nafanya anticipation ya kuweza kutengeneza business paypal acct kwa kutumia Payooneer card ambayo iko njiani hivo ikifika nikaiweka katika paypal acct yangu ndo ntakua mzoefu zaidi kwa sasa sina hakika zaidi ila nimeona watu wengi wakifanya hivo
 
Forum statistics

Threads 1,294,786
Members 498,071
Posts 31,188,379
Top