Napata picha ni jinsi gani lile swali la darasa la tatu/ nne lilivyowasumbua baadhi yenu humu. Kilo kumi za pamba na kilo kumi za mawe zipi nzito? hahaha ahahaha ahahah! with our subject in question kilo 10 za pamba na kilo nane za mawe zipi nzito????????? And am wondering the discusion still goes on and on!!!!!!
Tafakarini vizuri haya mambo iwe tairi kubwa au ndogo chassis sijui ikoje unit per hour ndio inakutanisha gari kubwa na dogo kitakacho tokea hapo ni kwamba tairi za starlet zitagharimika kuzunguka mara nyingi ukilinganisha na basi ila kama zote zinasoma 80km/hrs basi zitakua sambamba isipokuwa tairi za basi zitakua na mizunguko michache zaidi. Ila zipo gari pia zina speedometer ya mile/hr sasa kwa hizo gari mile ni kubwa kwa km . Na 80mile/hrs haiwezi kulingana na 80km/hr
Ukitaka kujua mabasi yanaenda speed kiasi gani jaribu kwenda nalo sambamba siku moja katika highway za mikoani ukiwa na gari ndogo...
Wakuu,
Haya ni sawa na kuchukua machungwa kuyafananisha na ndimu!!! Definitely ladha ni tofauti; misingi ya kushindanisha inahitaji uwe na washindani wawili wenye vigezo sawa.
Hatuwezi kukaa na kubishana kushindanisha Toyota Starlet na Scania. Haya ni magari mawili tofauti!!!
Engine ya starlet ni less than 1200cc wakati ya scania ni zaidi ya 5000cc; starlet inatumia petrol na scania dielsel. Hizi ni injini tofauti sana!!! Wachilia mbali chassis zake, matairi, distance covered in a meter, performernces zake, power produced kwa kila combustion, transimission performances etc.
Vipimo vya speed vinabaki kuwa sawa tu!! Ila huwezi kuzishindanisha hizi gari mbili kamwe!!!
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h.
Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?
Momentum haihusiki na gari kubwa kuipita gari ndogo ila momentum utaiona kazi yake kwenye kuondoka na kusimama, hasa ule umbali wa kusimama ambapo gari kubwa litahitaji umbali mrefu zaidi kusimama kuliko dogo. Tunachosema hapa ni kama yakiwa kwenye barabara isiyo na vikwazo yakiwa yaongozana then muulizaji anasema gari kubwa linalipita dogo kitu ambacho nimekielezea kwa undani hapo juu kuwa kinawezekana tuu kwa sababu ya air resistance.Hii ni physics
unaweza kusoma soma mambo ya Acceleration na Momentum na Force
- Gari yenye uzito mdogo ina accelerate/de celerate upesi kuliko gari yenye uzito mkubwa
- Lakini gari yenye uzito mkubwa haipotezi momentum kirahisi sababu ya uzito uliyonayo kama gari ndogo
So at the same speed gari ndogo inaweza kutangulia gari kubwa but ile gari klubwa iki gain momentum then theoretically mwedo kasi wa gari zote utakuwa sawa
Momentum haihusiki na gari kubwa kuipita gari ndogo ila momentum utaiona kazi yake kwenye kuondoka na kusimama, hasa ule umbali wa kusimama ambapo gari kubwa litahitaji umbali mrefu zaidi kusimama kuliko dogo. Tunachosema hapa ni kama yakiwa kwenye barabara isiyo na vikwazo yakiwa yaongozana then muulizaji anasema gari kubwa linalipita dogo kitu ambacho nimekielezea kwa undani hapo juu kuwa kinawezekana tuu kwa sababu ya air resistance.