Kwa Wataalam wa hesabu


hospital rule? mambo ya hospitali yanatoka wapi kwenye hesabu?
na mtuambie mnatumia hospitali ipi? kcmc? mhimbili? bombo?
acheni kutudanganya....mi nnachojua hesabu ni ngumu lakini haziumwi.
 
Ndio mkubwa. If x=y, then x-y=0, na (x-y)/(x-y) ni sawa na 0/0 ambayo c sawa na 1.
 
Acha kutuibia, mi mwenyewe nazifahamu hesabu bwana, o/o ni undefined, and not 1.
 
nenda kasome MAGAZIJUTO huwezi kugawanya bila kufungua mabano utakuta 0/0 is undefined,
 
hakuna ki2 km hicho,labda ulisoma kipind mungai ni wazir wa elimu
 
Babu,

Uongo wako umeanzia pale "Let X = Y",
Pengine Hizo X & Y ndio 2 & 1 zenyewe.

So huja - prove 2 = 1,
Bali ume - assume 2 = 1 then ukawa una - prove your own assumption Babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…