Kwa wataalam wa google adsense(pita hapa)

mazagazagaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
290
Reaction score
209
Vip hali wataalam wa adsense .. ukiacha na shughuli nyingine ninazozifafanya mimi ni mwandishi wa makala mitandaoni, nilihitaji sana msaada hapa kwa wale wajuzi wa google adsense, Kwa siku huwa kuingiza visitors 10,000++(visitors wa Ulaya/South africa) kupitia social network/organic traffic na visitors 15,000++(Tanzania/kenya/uganda/congo etc) kwa siku.. Nilishatumia google adsense na kupata malipo mara mbili wakanifungia bila hata kuvunja terms zao, nimejaribu kuulizia wanasema kwa sasa accounts za google adsense zinafungwa sana. hasa tanzania.. Kwa sasa natumia Revenuehits, propellerads, ad cash, na local ads katika site zangu.. Hapa nilitaka kuuliza je kuna uwezekano wa kutumia google adsense bila kufungiwa kwa Tanzania kwa hizi account mpya au ndio hawahitaji publishers wa Tanzania tena .Napenda sana nirudi kwenye google adsense kwa kua wanalipa vizuri na wana matangazo mazuri ie hawana pop ads .. Natanguliza shukrani..Kama kuna mjuzi anayejua kitaalam na kiundani sana atoe msaada wenye vidhibitisho vya kueleweka, sio bla bla au maneno ya kubahatisha hii ni kwa ajili ya kujenga..
 
sio km zinafungwa hata za zamani zinafugwa kwa sabu Google wanaangalia ctr km no kubwa hats acc ya zaman inafungwa kwa mfano una page viewers 50 na wamecrick 40 ctr itakua kubwa sana na unafungiwa acc ULA km wameingia watu 1500 click 300 apo utakua safe xo cheza na ctr boy,,bloggers wachanga ndo hawaelewagi ivyo
 
BIG NO.. Hayo masuala ya ctr yanajulikana, ctr ikiwa kubwa account inafungwa elewa Kuna tofauti kubwa kati ya account mpya na zamani.. vicent tz=sanga tapeli, hizo I.D zina uhusiano na matapeli.
 
Naona mmekomalia akaunt za zman. Hata ukiipata na ukapost kiswahili au hizo float zenu utafungiwa tu
 
BIG NO.. Hayo masuala ya ctr yanajulikana, ctr ikiwa kubwa account inafungwa elewa Kuna tofauti kubwa kati ya account mpya na zamani.. vicent tz=sanga tapeli, hizo I.D zina uhusiano na matapeli.
kila MTU unahisi n sanga tu ha ha una kaz mwaka huu ,, tunakupa mbinu unamuwaza sanga inaonekana ni bingwa kwenye blogging
 
wataalam kuna wadau wanaouza account za adsense kama wapo anichek whatsap 0716233705 tuongee vizuri
 
Hawa google.sijui wamepatwa na nini sikuhizi, yani wanafungia sana watu, zamani ukiwa na account ya zamani unakua safe zone ila siku hizi hata account za zamani wanasepa Nazo.

Pia wamenza tabia yao hii iliyokuja kwa kasi ya kuzima matangazo yao yasionekane kabisa kwenye blog na app, hii pia inakera sana.

Yote kwa yote anything can happen at anytime, hili game kwa sasa limebadilika,
 
Natengeneza 500usd+per day kwa adsense ,kama una adense ya zamani imetoa 5+ na site yake nichek chap tubadilishane ntakupa full tricks za kupiga hzo dola na ww utanipa accnt...nipo mbeya kama utahitaji tuonane phycally its okey karibu
Njoo na accnt sihitaji hata cent tano yako
 
mkuu tuwasiliane watsap 0716233705.. au eka no zako
 
Natengeneza 500usd+per day kwa adsense ,kama una adense ya zamani imetoa 5+ na site yake nichek chap tubadilishane ntakupa full tricks za kupiga hzo dola na ww utanipa accnt...nipo mbeya kama utahitaji tuonane phycally its okey karibu
Njoo na accnt sihitaji hata cent tano yako
Mkuu wew ni blogger? Na Hyo 500USD unatengeneza every single day au vipi?
Tupeane maujanja bas
 
sio km zinafungwa hata za zamani zinafugwa kwa sabu Google wanaangalia ctr km no kubwa hats acc ya zaman inafungwa kwa mfano una page viewers 50 na wamecrick 40 ctr itakua kubwa sana na unafungiwa acc ULA km wameingia watu 1500 click 300 apo utakua safe xo cheza na ctr boy,,bloggers wachanga ndo hawaelewagi ivyo
wakuu naomben.mnisaidie link za magrup ya fb yenye cpc kubwa
 
Back
Top Bottom