Kwa wataalam wa body language

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Hapa Rais Kikwete alikuwa anamwambia Mh Lissu nini?

Kwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.

Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.
 
Kwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.

Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.
Hilo gwanda lake nalo kapewa na akina aliAdaiwi?
 
Kwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.

Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.

Kuna mtu alipiga gwanda na blue pia.

Mkuu wa kaya anamwambia Lissu.

Lissu tafazali sana, ukifanya longa longa, tutakupeleka India!! Kama mahabusu hakukufai.
 
Hapa Rais Kikwete alikuwa anamwambia Mh Lissu nini?

kijana fanya siasa, Taaluma yako ya sheria itumie katika kujenga na kuendeleza Taifa na cyo kubomoa misingi iliyokwisha wekwa na waliotutangulia,, umenielewa? samahani Mh, rais nimekuelewa c unajuwa na tunaanza cc haya mambo ya siasa sasa unafikiri tutatoka vp wananchi watuelewe?
 
Rais wetu ni mstaarabu sana, hakuwa na sababu yoyote ya kukutana na hii NGO.
 
Kikwere aagghh Kikwete" tusitafutiane uhasama kijana wakubwa sisi". Lissu "ni siasa tu mzee,unasafiri lini tena?" tehteh tehteh.......
 
Kwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.

Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.
Aaaaaaaa, Mkuu Faiza, kumbe nanyi mnahusudisha maganda?...lol... no pun intended, just kocking
 
Anamwambia kijana we ni moto unasababisha sipigame vizuri siku hizi --- kama piga kimya.
 
Gwanda gwanda magwanda kwa kwenda mbele
 
"Najua we Msanii ka mimi tu! Unatupiga changa, ila poa tu ..."

Il Gambino
 
jamani mbona kama salamu ya maFREE massons,,,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…