Kwa wasomaji wa vitabu vya riwaya karibuni

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Habarini wadau wote wa riwaya hususan zile za Joram Kiango. Kwa wale wanaopenda riwaya, Kuna riwaya aina 11 za Ben Mtobwa ambazo ni
1. Tutarudi na roho zetu
2. Roho ya paka
3. Malaika wa shetani
4. Salamu toka kuzimu
5. Mikononi mwa nunda
6. Mikataba ya kishetani
7. Najisikia kuua tena
8. Mtambo wa mauti

Bei yake ni 10,000 kwa kila kimoja

9. Dar es salaam usiku 10,000
10. Zawadi ya ushindi 7,000
11. Kiguu na njia 15,000

kwa anayehitaji anaweza kuvipata Arusha, Morogoro na Dar es salaam. Ndani ya jiji la Dar vinapatikana posta mpya karibu na sanamu la askari, Kinondoni karibu na jengo la airtel na Bunju A. Kwa amabo wako mbali na miko hiyo pia unaweza kutumiwa mizigo yako kwa njia ya bus au sanduku la posta. Kwa mawasiliano zaidi piga simu au tuma msg kwa namba 0763044459.
Wote mnakaribishwa tuendeleze utamaduni wa kujisomea.
 
Attachments

  • malaika wa shetani.jpg
    malaika wa shetani.jpg
    71.6 KB · Views: 204
  • roho.jpg
    roho.jpg
    8 KB · Views: 178
  • mtambo cover.jpg
    mtambo cover.jpg
    59.6 KB · Views: 200
  • dar usiku cover.jpg
    dar usiku cover.jpg
    11.7 KB · Views: 187
  • najisikia.jpg
    najisikia.jpg
    8.6 KB · Views: 160
  • nunda.jpg
    nunda.jpg
    66.8 KB · Views: 255
  • shetani.jpg
    shetani.jpg
    77.9 KB · Views: 183
  • COVER---KIGUU-NA-NJIA.-Sample.jpg
    COVER---KIGUU-NA-NJIA.-Sample.jpg
    79 KB · Views: 188
Habarini wadau wote wa riwaya hususan zile za Joram Kiango. Kwa wale wanaopenda riwaya, Kuna riwaya aina 11 za Ben Mtobwa ambazo ni
1. Tutarudi na roho zetu
2. Roho ya paka
3. Malaika wa shetani
4. Salamu toka kuzimu
5. Mikononi mwa nunda
6. Mikataba ya kishetani
7. Najisikia kuua tena
8. Mtambo wa mauti

Bei yake ni 10,000 kwa kila kimoja

9. Dar es salaam usiku 10,000
10. Zawadi ya ushindi 7,000
11. Kiguu na njia 15,000

kwa anayehitaji anaweza kuvipata Arusha, Morogoro na Dar es salaam. Ndani ya jiji la Dar vinapatikana posta mpya karibu na sanamu la askari, Kinondoni karibu na jengo la airtel na Bunju A. Kwa amabo wako mbali na miko hiyo pia unaweza kutumiwa mizigo yako kwa njia ya bus au sanduku la posta. Kwa mawasiliano zaidi piga simu au tuma msg kwa namba 0763044459.
Wote mnakaribishwa tuendeleze utamaduni wa kujisomea.
Hivi vitabu nilisoma miaka ileeeeee nikiwa mdogo, umenikumbusha mbali sana mkuu.
Una audio book.......??
 
Stock yangu yote ya vitabu vya riwaya ilishaisha zamani sn...inabidi nianze kuvikusanya upyaaa
 
kama itatokea mkawa na mpango wa kutengeneza audio book, plz let me know
 
Habarini wadau wote wa riwaya hususan zile za Joram Kiango. Kwa wale wanaopenda riwaya, Kuna riwaya aina 11 za Ben Mtobwa ambazo ni
1. Tutarudi na roho zetu
2. Roho ya paka
3. Malaika wa shetani
4. Salamu toka kuzimu
5. Mikononi mwa nunda
6. Mikataba ya kishetani
7. Najisikia kuua tena
8. Mtambo wa mauti

Bei yake ni 10,000 kwa kila kimoja

9. Dar es salaam usiku 10,000
10. Zawadi ya ushindi 7,000
11. Kiguu na njia 15,000

kwa anayehitaji anaweza kuvipata Arusha, Morogoro na Dar es salaam. Ndani ya jiji la Dar vinapatikana posta mpya karibu na sanamu la askari, Kinondoni karibu na jengo la airtel na Bunju A. Kwa amabo wako mbali na miko hiyo pia unaweza kutumiwa mizigo yako kwa njia ya bus au sanduku la posta. Kwa mawasiliano zaidi piga simu au tuma msg kwa namba 0763044459.
Wote mnakaribishwa tuendeleze utamaduni wa kujisomea.

Vip mnavyo vya Willy Gamba, na vile vya mtunzi somebody called bawazir aliekuwa akitoa hadith zake kwenye jarida la SANI kama sikosei, moja ya hadith zake ni Utata wa Disemba Tisa na msako wa Mr. X.pia na mkimbizi
 
Hapana sina.
 
Back
Top Bottom