Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
jaman tusaidiane katika hili najua humu jf members tutakuwa tumekutananalo au tulikutananalo au tunakutananalo katika mahusiano yetu...,unakuwa na mpenzi ambae anakupeenda sana mpaka wewe mwenyewe unatambua kwamba mupenzi kafa kaoza,lakin tatizo linakuja kwamba mpenzi huyo anaugonjwa mkubwa wa kutokuwa mwelewa kabisa tena hasa kwa vitu vidogo vidogo tu,umejitahidi sana kumwelewesha na kumwambia tabia hiyo inakera lakin atabadilika leo, kesho anarud kule kule......... mtu wa hivi suluhisho au msaada ni upi wa kumweka sawa/aache mtabia huo nawe unakereka kila siku.