Kwa wasikilizaji wote wa Wasafi FM

Kwa wasikilizaji wote wa Wasafi FM

Latvia

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
629
Reaction score
4,512
Natanguliza salamu.

Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.

Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.

Nimemaliza.

Povu ruksa.
 
Mimi kila nikifungua ni mziki tuu...
 
Natanguliza salamu.

Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.
Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.
Nimemaliza.

Povu ruksa.
Siku mbili hazitoshi kutoa hukumu hio , angalau ungesikiliza wiki nzima kama sio mwezi kabisa
 
Wasafi fm binafsi niliipenda kipindi wanapiga sana miziki. Na nina recording zao kama GB 30 hivi, walikuwa wanashusha ngoma haswaaa.

Ila walipoanzisha mavipindi ndipo walipoharibu, eti watangazaji wao ni akina Juma Lokole, Dida, Baba Levo

Nimejirudia zangu East Africa Radio taratiiiiibuuuu

Unforgettable
 
Mmiliki ,shareholder,watangazaji na vipindi vyote vya mchongo. kama utategemea jipya hapo na wewe utakuwa msikilizaji wa mchongo
 
Wasafi hawana content wamejaribu kuiga maudhui ya clouds Fm mwsho wa siku wanazidisha mbwembwe had Wanaboa kinoma Yan, vpind vingi vimejaa kelele watu hawasikilizan kila mtu analazimisha awe popular wakat hawana ubunifu, angalau kwenye Tv huwa naangalia kipindi kimoja kinaitwa "Hivi ni kweli?" Yule chalii ni mbunifu na kipind chake kinafurahisha
 
Natanguliza salamu.

Kwa wale wote mnaosikiliza Wasafi FM, ni kipi hasa cha maana mnachosikiliza huko. Nimejaribu kuifatilia hii radio station kwa siku mbili lakini hakuna cha maana, vipindi hovyo kabisa.

Yaani hakuna cha maana huko ni bora TBC FM mara milioni mia.

Nimemaliza.

Povu ruksa.
Ungesikiliza Redio Uhuru
 
Hakuna kitu pale ni kundi la vijana wahuni mi ctak ata kuickia iyo wasafi fm
 
Mimi huwa naskiza vipindi vya muziki tu vipindi vigine nawaachiaga wengine waskize..
 
Tafuta redio nyingine ya kusikiliza na hii wasafi fm tuachie wenyewe mkuu
 
Michezo ya asubuhi ikishaisha nasubiria saa mbili usiku mpaka saa nne nyimbo tupu hapo muda ukiisha naswitchoff
 
Back
Top Bottom