Kwa washauri wa JK tu...

Ningemwambia viongozi vilaza wote awapige chini na pia aweke vipaumbele kuijenga tanzania,tanzania inanuka ebu nenda japenga au beijingi uone yani ukirudi tz utazani unaingia chooni tena choo cha baa ya uswazi.
apo nmekusoma n true
 
Sitapoteza muda kwani hashauriki. Si unaona alishauriwa kuhusu sioi akakataa
 
Ajitathimini kuchekacheka kwake, enewei tutajaona aki rip riz1 kama kicheko ni genuine!!
 
Naongeza kuwa walikuchagua kwa kuipenda sura siyo utendaji hivyo mambo ya umeme bei juu na haupo wasikuulize hayakuhusu, maisha magumu waambie siyo kazi yako, safari zako nje ya nchi waambie unataalii maana uraisi ni miaka kumi tu ikiisha hujaimaliza dunia watakuwa tayari kukuchangia gharama za kumalizia nchi ambazo hujaenda, riz kujihusisha na bihashara haramu waambie asipofanya watakuwa tayari kumpa pesa za kufanyia matanuzi atakapokuwa anahitaji, na wakija na maswali ya kwamba umeshindwa kupambana na mafisadi wajibu bila hao mafisadi mimi ningekuwa rais. Nimekusaidia machache ninayoyajua naamini utakuwa mwanzo wa kujibu yaliyobaki. Mbona maswali ya huyu dogo ni rahisi kama abc tu.
 
Ajitathimini kuchekacheka kwake, enewei, tunasubiri aki rip riz1 tutaona kama kicheko ni genuine!!!!
 
Mpaka kesho uzi huu utakuwa haupo, najutia kwa nini natumia simu maana nigesave kabisa kabla jopo la maMoDs halijafanya vitu vyake.
Nipe email yako nikutumie,lkn pia tafuta kablackberry.
 
JK chagua maswali 10 angalau ujibu kwa ufasaha bila kuogopa.je utaweza maana umezoea kuchekacheka hata misibani
 
Babu seya aliimbaga
saluma wangueeeee!
Kapewa kesi nzito
maskini natamani aje raisi mpinzani amtoe. Aah uruma sana.
 
Kombati umeandika kwa hasira mpaka maswali mengine yamekuwa kama majibu.
 
Ajiuzulu ili tuchague mwingine.

....maamuzi magumu,ngoja nimulize mtoto wa mkulima,eti pinda unalizika kuwa waziri mkuu ktk kipindi hk?.....lowasa nae mimi nilipima nikaona bora nijitoe bora kupata kashfa ya ufisadi kuliko inch kufa nikiwa wazir mkuu
 
tume ya katiba ina waislam wengi kuliko wakristo - Edwini Mtei,baba mkwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…