Kwa wapenzi wa slowjams, nyimbo bora kabisa kuwahi kuimbwa (CHquitita by Alba Group) enjoy

Abba - Chiquitita
huo wimbo ni noma aisee huwa unanipatiaga usingizi mororo nikiusikiliza
 
Abba gold kundi pekee la muziki lililovuma na kusambaratika then baada ya miaka kadhaa tena wakiwa uraiani ngoma zao zikavuma na zikauza zaidi platinum wakiwa kila mtu anafanya kazi zake ikabidi waungane kuja kusign deals tu na kusepa bila hata kuibua song moja. Loh!

Easy money!
 
Back
Top Bottom