season 2 nayo imeshatoka jikoni, inaingia series ya 4 kama sikosei; premier yake iko free online - google
Ngoja nijaribu kuitafuta ni download maana naifwatilia afu kitambo sion muendelezo wowote
season 2 nayo imeshatoka jikoni, inaingia series ya 4 kama sikosei; premier yake iko free online - google
Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia tangu 24 hrs iishe hapajawa na series yenye gumzo so nadhani hii kama unapenda kuangalia fujo, bunduki na kila aina mapigano basi itakufaa ila usitazame na watoto coz kuna mtu anapenda ngono humo ndani ni hatari.
Kwa ufupi ni kwamba ndani ya jeshi la Uingereza kuna kikosi kinaita SECTION 20 kinafanya kazi za upepelezi hasa magaidi na this time wameanzia Nchi jirani kabisa Kenya na Somalia na katika hii Season 3 wameweka base yao South Africa japo wanahama hama kulingana na lilipo tukio......kazi kwenu.
Yeah nimeiwatch mkuu, nikweli mkuu ina action za ukweli.

Umeniokota, yaani strike back ndio unaifananisha na 24hrs ?!!!!
wala haifikii NIKITA!!
PICHA MBAYAAAAA kama nini!!!!
Mkuu sijasema inaifikia 24 nimesema kama unapenda series zenye fujo na mapigano, naiheshimu 24hrs kiukweli mimi nikita sikuipenda coz niliona mbaya mpaka leo nashindwa kuimalizia japo ninayo yote.