Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,629
- Thread starter
- #21
Haitumii battery ni automatic movement.
hii nayo haingizi maji
Kwa wapenz wa Bluetooth smart fitness watch mzigo upo njian from Guangzhou book now 65000/=, utaletewa popote ulipo TZ.
Hivyo vimshale vidogo vidogo vinafanya kaziMegir watch haingii maji mishale yote inafanya kazi haipauki rangi inafanana na hublot big bang 75000/ WhatsApp 0718628657.
Ndio haiingizi majihii nayo haingizi maji
Ndio mishale yote inafanya kazi.Hivyo vimshale vidogo vidogo vinafanya kazi
Weka picha za hizo smart na bei zake mkuu, nataka hizi.Smart watches zinakuja wiki ijayo kaeni mkao wa Kula.
Ninayo moja ndio ninayotumia ni saa nzuri, subiri kama wiki mbili zijazo kuna mzigo mpya wa saa na curren zikiwemo. Be Patients.curren unazo mkuu? Bei ikoje?
PoaNtakupigia.
Serious!!!!! Ina nin na nin aseeh?
Hiyo USD 1000 sio mchezo kbsa...
Inatumia nn instead of battery?
CADISEN watch ni automatiki haitumii battery, haingii maji, Ina kalenda,haipauki rangi, 85000/= best price ever.