Kwa wapenzi wa No Great love

Kwa wapenzi wa No Great love

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa hivyo tungekuwa mbali,alafu story zao zinakua zaidi katika mpenzi lakini namna wanavyoyaweka sasa,Safi sana.
 
Mmh yan hii tamthilia nki ik0saga nahisi kuugua
 
Back
Top Bottom