Kwa wapenzi wa kweli

Kwa wapenzi wa kweli

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
942906_511176945606805_1718229531_n.jpg
 
Mijitu mishamba hutumia fedha nyingi sana kufanya harusi halafu Honey Moon inaishia Peacock Hotel.

Hii ndio memorable event, sio vigelegele vya rundo la watu, 60% hauwafahamu.
 
Mijitu mishamba hutumia fedha nyingi sana kufanya harusi halafu Honey Moon inaishia Peacock Hotel.

Hii ndio memorable event, sio vigelegele vya rundo la watu, 60% hauwafahamu.

kila mtu na interest zake, na usipelekwe na matukio ikiwekwa pic nyingine nzuri utasema tofauti.
za kwetu waafrica ni unyago,mdundiko,segere na jando hayo mengine ni kuiga tu.
 
Mijitu mishamba hutumia fedha nyingi sana kufanya harusi halafu Honey Moon inaishia Peacock Hotel.

Hii ndio memorable event, sio vigelegele vya rundo la watu, 60% hauwafahamu.

Ridhika na kile kidogo ambacho mwenyezi MUNGU amekujalia kupata. Mambo kama haya huwezi kufanya kwa kutegemea hela za michango. Ili kufanya haya ni lazima uwe nazo ama wewe mwenyewe au baba yako au ndugu yako mwingine bila kujali kazipata kwa njia za halali au haramu. Vinginevyo Peacock hotel inatosha kabisa kwa honey moon kama hela yako ni ya kuunga unga
 
Back
Top Bottom