FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,418
mi mbona imegoma kwangu,..y
ok thanq dadaJaribu tena rafk hakikisha mtandao uko vzr..yani hauchez chez ni H usiwe E au G
hii tambira ya joyous
aaaaaahh hii video imegoma kwangu....
hii spirit of praise hapo ni kipindi inaanzaHii Kitu nayo ni nzuri balaaa, bado Malope nae
Sina hakika mkuu. Lakini huwezi jua huenda jamaa kazama kwenye gospel kikwelikweli.aaaaaahh hii video imegoma kwangu....
ila HUYU JAMAA anafungaga na kuomba kweli???????????????
mbona hana tofauti na wamataifa?
hawa ndo wanaaribu gospel hawa...
aaaaaahh hii video imegoma kwangu....
ila HUYU JAMAA anafungaga na kuomba kweli???????????????
mbona hana tofauti na wamataifa?
hawa ndo wanaaribu gospel hawa...
Loveissweet,nawezaje kudownload nyimbo YouTube mpenziPow
Powerful song.. Living waters oooh my, my, I can't explain how I feel nikisikilizaga this song.. Just let's meet in spirit , ndio utanielewa dear.. Awesome songs.. Thanks..
To be honest Mimi sio mzuri sana kwa part hiyo , huwa nasikiliza tuu na may Ku copy and paste if nataka kummtumia MTU pole my Sweet , samahani Sana kwa hilo.. I wish could help .. But there are some people know how to do this from here , please try it.. Thanks..Loveissweet,nawezaje kudownload nyimbo YouTube mpenzi
Dear would you please help Nelaizer to download song from you tube please ? Thanks ..hii tambira ya joyous
hawahuitendea haki vilivyo........
misikuipenda kabisa....
ile vorigina ya zimbabwe gospel choir
ni htr huwa haichuji ile
director sawa.............Hyo c mwimbaj rafk...ni director tu...ila ameamua kuigiza afurahishe watu....namjua anaitwa Nyata
loveissweet download aplication inaitwa tubemate...utaweza kudownload video direct youtube........To be honest Mimi sio mzuri sana kwa part hiyo , huwa nasikiliza tuu na may Ku copy and paste if nataka kummtumia MTU pole my Sweet , samahani Sana kwa hilo.. I wish could help .. But there are some people know how to do this from here , please try it.. Thanks..
Kama unatumia simu za android nenda kwenye setting chini kwenye security then allow ku download application from other sources, unatiki hapo, halafu rudi kwenye browser unayotumia download vidmate halafu install (yenyewe itakuelekeza) hii itakusaidia ukiona video yoyote youtupe unaweza ku download, stay blessedDear would you please help Nelaizer to download song from you tube please ? Thanks ..
Thank you dear I will give to Nelaizer.. Thanks ..loveissweet download aplication inaitwa tubemate...utaweza kudownload video direct youtube........
Loveissweet,nawezaje kudownload nyimbo YouTube mpenzi
sister/dada download apk ya tubemate kutoka kupitia operamini au browser ya kawaida....then ukiidownload nijulisha hapa nikupe maelekezo yake...Loveissweet,nawezaje kudownload nyimbo YouTube mpenzi
Thank you my dear .. Be blessed as well.. Thanks..Kama unatumia simu za android nenda kwenye setting chini kwenye security then allow ku download application from other sources, unatiki hapo, halafu rudi kwenye browser unayotumia download vidmate halafu install (yenyewe itakuelekeza) hii itakusaidia ukiona video yoyote youtupe unaweza ku download, stay blessed