Kwa wapenda offa

Kwa wapenda offa

eliwaynizle

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
6
Reaction score
2
Kanuni 10 kwa wapenda offer
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini
usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji
toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza
kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda
madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama
ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana
hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe
Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo.
Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa
CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe
umejitayarisha kila wakati.
 
Hahahhahahahahaha jaman raha jipe mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Artinzu Mbeya
 
Hiyo kiboko ndugu nimesikia

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom