matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,462
- 23,244
Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa.
Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi
Kuna taarifa zilivuja kwa dakika chache kuonyesha Meli la kivita Abraham likiwa limevurugwa vibaya huko lilikoenda kufichwa lakini zilifutwa chapchap kabla hazijaenda viral ( censorship). Picha US kushindwa haitakiwi kuonekana Duniani, Hata Afghanistan walionekana kushindwa mwishoni baada ya miaka 20 ili kutushahaulisha.
Iran kuendelea kuonekana anavinguvu na kuvunga njia za Mafuta ni kuitesa dunia huku akijua wadau hawa kama litawaumiza hawashindwi kufanya jambo la ajabu kama vichaa.
MWISHO: DUNIA INAELEKEA WAPI.
Iran itarudishwa zama za mawe.
Russia na China uchumi utaporomoshwa kimkakati hata bila vita na watadhohofu vibaya.
Trump atairudisha US kwenye Ukiranja wa Dunia tena kwa nguvu kubwa. Chochote watakachoamua dunia lazima ikifuate hadi Mungu atakapoona Inatosha na kuingilia kati kufuta udhalimu na kusimika serikali yake upya kama wakati wa Adam na Eva.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi