Kwa wanayoung wanaofahamu

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,044
Reaction score
2,134
Naomba mnijuze,hivi mbuyu twite amepona?Nilisikia kuumia kwake but cjaweza jua atakaa nje kwa muda gan au la???Tafadhar nijuzen mwenzenu
 
Yuko fit na yupo kambini,hhi ni kutokana na taarifa ya kocha wakati wa kuondoka kuelekea Tanga,alisema hakuna majeruh hata mmoja wachazaji wote wako fit
 
Yuko fiti kwa mechi inayofuata, hakuumia bali aliugua malaria na sasa amepona kabisa.
 
Mnaringa na mbuyu twite wenu lakini hawezi kufikia kiwango cha mapro wetu akina keita na ochang...ok?
 
Naomba mnijuze,hivi mbuyu twite amepona?Nilisikia kuumia kwake but cjaweza jua atakaa nje kwa muda gan au la???Tafadhar nijuzen mwenzenu

kutoka kwenye magazeti ya kinazi wanasema yupo fit kwenda kupokea kichapo cha moja bila..
 
kutoka kwenye magazeti ya kinazi wanasema yupo fit kwenda kupokea kichapo cha moja bila..

eti kichapo cha moja bila. Inaelekea umeukubali sana mziki wa yanga eee? Nyie azam mtapigwa 4 na mgambo sijui mtamfukuza nani safari hii
 
kutoka kwenye magazeti ya kinazi wanasema yupo fit kwenda kupokea kichapo cha moja bila..

malizia kesi yako na takukuru inayohusu wachezaji wako na bwana mliefunga nae ndoa ya mkeka
 
Yuko physically and mentally fit kuzuia move zote za kina Danny Lyanga sijui na nani nani huku akisukuma mashambulizi kupitia upande wa kulia na wakikaa vibaya hakawii kuwatungua bao.....naam huyo ndo Mbuyu Twite a.k.a Rage, najua Simba wote wanamwombe Mshikaji apate majeruhi ya muda mrefu.
 
Hii mishabiki ya simba siipendi, sijui imeingiaje humu ndani kwenye hoja ihusuyo mabingwa wa afrika mashariki na kati, inaleta ukuda wao tu mda wote inawashwa washwa badala ikatatue mitatizo yao huko
 
hata Kavumbago hamuwezi Akufor kwa upigaji mzuri wa penati!

Don't fool a fool madam. Mwenzio hajui kama unamkejeli

Leo wapo Dar na randa na msumeno wao kama kawaida, tayari kutengeneza droo nyingine ili kabati likamilike. Seremala wa Mogadishu bana......ah Msimbazi, sorry! Mogadishu ni kwa mwanasheria wao
 

Siyo kumuombea tu, tayari jana walishatuma vijana wao Kabuku. Wamelivizia gari la Yanga na kulishambulia kwa mawe, Msuva amejeruhiwa. Yaani hawa jamaa siku hizi wana mambo ya 'Kisomali' si unajua kwa nini?

Na kwa tukio lile nina wasiwasi na Mzaramo fulani hapa jamvini. Kuna mtu kamuona Pazi siku mbili tatu hizi?
 
Last edited by a moderator:

Akiweza kuzuia mashambulizi ya kina Lyanga big up.
Ishu ni kuwa ataweza kuzuia ile mishuti ya km kadhaa ya Santo na Razack Khalfan?
 
malizia kesi yako na takukuru inayohusu wachezaji wako na bwana mliefunga nae ndoa ya mkeka

Ikithibitika wachezaji wa Azam walipokea mlungula, timu ya Simba lazima ishushwd daraja na viongozi waliohusika wapelekwe kwa pilato maana mtoaji na mpokeaji rushwa wote ni wakosaji mbele ya sheria.

Aibu kwa Mnyama, mbona Azam alifungwa na Yanga hivi karibuni na hawalalamikii vitendo vya rushwa? Penye moshi pana moto.
 

Mkuu Makoye,unafikiri Viongozi wa Azam wajinga...na kumbuka michezo ile miwili ilichezwa hadharani na kila mtu aliona kipigo kipi kilikuwa cha halali na kipi kilikuwa cha zengwe,wee fikiria kwa mfano ni mechi ngapi Okwi ame'shine kiasi cha kuwa gumzo katika misimu miwili ule uliopita na huu unaoendelea kama siyo 2,ile ya Yanga ya kumtoa Nchunga na hii ya Azam ya juzi ambazo zote zilikuwa za Zengwe.
Okwi ambaye mimi binafsi nilimtabiria kuto'shine kabisa katika msimu huu unaoendelea ni mchezaji hatari sana katika michezo ambayo matokeo yake yanakuwa yashapangwa nje ya uwanja,kwani akichukua mpira tu mabeki wa team pinzani wenyewe wanakubali chenga/wanamchezea faulo za kijinga na wengine wasiotaka kushusha status za wanarudi kinyumenyume kumruhusu aingie eneo la hatari na kuleta madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…