Barikiwa mnoo DahanAsante mnoo Glenn Half american π..
Amen, Asante sana πJoannah
Valentina
Saint Anne
Shunie
Dahan
Amehlo
Bantu Lady
ahzan
nana_
To yeye
Unique Flower
mawardat
Kasie
Joan lewis
mama D
Nawatakia furaha, amani, upendo pamoja na utulivu wa mioyo yenu
ππHivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Halafu saa nane hii ya usiku unachati shemeji atahisi unachepuka mkuu.π€£π€£π€£π€£si umeongezea?
ππtujipongezeππ
Kumbe siku inapaswa kusherehekewa? DK π€·ββοΈ
Pakuche tupike maubweche
Karibu πAmen, Asante sana π
Siaminiki kwa lipi mkuu? Mwenzio nipo job now nalinda maduka ya watu yasivunjwe,wewe umelala lkn unachezea simu. Ngoja shemeji akufume.Huaminiki kijana?
hakikaMnastahili
Kumbe! ππππ¦ππtujipongeze
ππ€Asante mnoo Glenn Half american π..
Madam kitenge changu usisahau ππππ
Kumbe siku inapaswa kusherehekewa? DK π€·ββοΈ
Pakuche tupike maubweche
Mimi nipo lindo nalinda maduka ya watu. Ila mbu wanag'ata Sana asee!!kwahiyo nyie ambao hamjalala saa8 hii kasoro ndio mabachela sugu wa jf? πππ
Me na Dahan tumeamka kuangalia vifaranga visijedondokea uvunguni