Kwa wanawake wenye watoto tu

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Wapendwa hiyo hapo ni calendar ukitaka kuchagua uzae mtoto jinsia gani unaangalia miaka yako na miezi ya kubemba mimba hiyo ni calendar ya china Mimi naomben kupata uhakika hapa kwa walio na watoto hasa wanawake
He miaka yako na mwez uliobeba mimba ni sawa na kwenye hiyo kalendar????
IMG_20180408_215204.jpg
 
Loh hili la mtoto wa kiume kumtafuna mother ni hatari, na baba kumlamba binti yako mwenyewe.

Nyie wachangiaji mnao hao watoto mabinti wazuri wanaoumiza shingo za watu. Au mnachangia tu kutokana na elimu. Nadhani hapa mleta uzi antaka tupeane uzoefu sisi waafrika hasa wabongo. Kule nje tofauti.
 
Duh! Kuna ukweli fulani hapa wajameni. Maana mm ktk watoto nilio nao ni mmoja tu ambaye nimeshindwa kuthibitisha sababu mamake alikuwa na miaka 17. Wengine wote ni sawa sawa.
 
Back
Top Bottom