Kwa wanawake wapweke tu

tukuite gigolo au changudoa wa kiume?
 
Ubarikiwe mkuu kwa moyo wako.....
Ngoja nikuje huko
 
Hii ni kampuni au?
Maana kama u peke yako hutaweza wamudu wote
 
Karibu sana mkuu. Unajua watu wanadhihaki hawaujui ukweli. Ukweli ni kuwa wahitaji ni wengi saaaana.

Wahitaji wengi saaaana halafu mpozaji ni wewe mmoja? Meeen,stop playing around. Na kazi zako unafanya sangapi,Leo utaenda mbugani na huyu kesho umfanyie massage yule keshokutwa umtoe hamu asiyetaka mahusiano ya kudumu..you can't be serious.
 
Am serious kwa walio serious tu!
 
Mkuu ni watu wachache sana wenye moyo huo. Kama unamaanisha mbona utawapata wengi sana. Hongera kwa ubunifu sijui kwa nini mimi sikuwaza huo ubunifu duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…