kwa wanawake waliolewa

kwa wanawake waliolewa

nilikuwa sijui, sijui kwanini wazee hawakuniambia.
Si kila kitu utaambiwa na wazee, kuna vingine mazingira yatakufundisha.... Kwani hao wazee walishawahi kukueleze mkiwa mna-DO, mfikishe bao ngapi?
 
Kama komenti zako ndo hizi, basi we endelea kumegwa kisela... vipi kama vyooteee anavyovifanya huvipendi? Kuna ndoa/mapenzi hapo kweli...??

hakuna nikichukiacho wala nikipendacho mbona hunielewi.

sina muda wa kuanza kuangalia sijui ananifurahisha na nini sijui ananiboa na nini? mimi naangalia ndoa ilimradi ipo, watoto wako poa, mambo ya msingi tunashirikiana. Hayo mambo ya mimi kumpenda au yeye kunipenda hayana nafasi.
 
Back
Top Bottom