Kwa wanawake wajuzi wa maloveeee!!!!

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,721
Hivi ikitokea ukajenga mazoea na mwanaume halafu from the day you became friends huyo mwanaume akawa analike to chat with you everyday then kila usiku he wishes u G9t!!. Kwa akili za fastafasta nyie wanawake huwa mnawazaga kwamba jamaa ameshafall kwenu au mnakuwaga mnawaza nini kuhusu jamaa.? :A S-confused1:
 
Mkuu hawa wanawake wa siku hizi hata ukikutana nae ukamsalimia, yeye anafikiri umempenda...
 

Mkuu hawa wanawake wa siku hizi hata ukikutana nae ukamsalimia, yeye anafikiri umempenda...

Mmmh nyie watu kwani ni kosa?
nadhani kila MTU ana kipimio chake so huwez jua
 
ukimuomba tuu namba za simu anajua umempenda..
 
Mkuu hawa wanawake wa siku hizi hata ukikutana nae ukamsalimia, yeye anafikiri umempenda...
loooh! 😕😕 usijibu kwa wingi labda hao unaokutananao wewe
 
Wanawake wa siku hizi hawalazi damu bwana...wanaume tupo wachache.
 
Kweli wachache wanakua hawana nia ya kumpata huyo mwanamke ila kuna wengi wanaojificha nyuma ya mgongo wa hao wachache wasiomaanisha. Mtu haendi direct kwenye point, anazunguka tu, ukimuuliza atajifanya hakumaanisha hilo....
 
Hasty Generalization

Wengine wanapenda kampani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…