Namaanisha kua wako wengine wazuri wana fit kwenye idara nyingi,wapo wa bao2 wapo wa 1 na wapo wa nusu bao..I
Unapo sema wengine wapo vizuri na wengine hawapo sawa una maanisha 50% wapo viziri na 50% chenga au vp.
Mimi nakushangaa kuja kwenye uzi unaopaswa hujadiliwa na wanawake wakiongozwa na mimi mwanamume. Au ukhofia nisije nika mtongoza mkeo hapana mimi sina hizo mambo mimi ninacho taka nikuwa saudia , wanawake wa dar.Unataka kujua kwani unataka kuolewa na kijana wa Dar Slam?
Kutembea uku wanatikisa makalio nako ni kujipendaaa????? Aiseee wanaume wa DarWengine wako Vizuri jamani,na wengine wanajipenda ndio mana wanaitwa mabwabwa lakini sio kweli..lol
mmmmmm sasa hapo pabaya wanaume hao watakua sio original watakua fake wanaume wa Dar Marijali SanaaKutembea uku wanatikisa makalio nako ni kujipendaaa????? Aiseee wanaume wa Dar
Hahaha hahahaNinapo sema wanawake wa dar tu alafu wewe una kuja tukuelewe jee...samahani lakini
Hivi kujipaka wanja....mapoda ndo kujipodoaammmmmm sasa hapo pabaya wanaume hao watakua sio original watakua fake wanaume wa Dar Marijali Sanaa
watanashati sema wanajipenda ndio watu wanapokosea hapooooooooooooo...
Hongera ume funguka vyakutosha.99% tatizo la wanaum wa dar, wanandoa na wanapenda michepko tena wanaihalalisha kwa jamii 2. wabahiri / wachoyo sio kwamba hana pesa la hasha pesa inakwenda kwenye starehe kama body mesej kupanga sehemu za vibosile tofaut na kipato chake, kununua vitu vya kujioneshea kwa watu eg GALAX ya 1000000, bando la 10000 hata mwezi halimalizi wakat anashindia chips umguse kuhus ujenzi wa nyumba anakuona wa bush sana na atakupotea mazima, na kuna wale wanaopenda kulelewa pasipo kujitafutia hawa ni wote ata penda jimama il amlee au akipenda binti hataki aombwe hela yaan aish self upande wa pesa kwake mwiko kuombwa,. 3. Hawana uvumilivu wakigombana kdog tu suluhu kuachana kwakujipa moyo kuwa wanawakE wapo wengi, halaf hawatakag waonekane wao wakosaji,,,,. [about dating] sipo ndoan sijawahi na sijui lolote kutokana na maelezn yako sina cha kuchangia hapo ila yangu ni hayo,,,,,. Na nimeyashuhudia tangu nipo chuo,,, adi sasa yanaletwa jamvini si magen kwangu,................
Nadhani wanaita hivyo wengine..Hivi kujipaka wanja....mapoda ndo kujipodoaa