Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,087
Habari wadau wa MMU,
Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga wikiend hii lakini ikifika anakuja na excuse japo wiki inayofuatia huduma napata ingawa kwa ukakasi (kulalamika kuchoka n.k)
Sasa huyu wa sasa hapigi vizinga mpaka mwenyewe najishtukia, kwa hyo tunapokua na date hata kama sex haihusiki huwa namuachia vijisenti kidgo. Leo nikaamua nimfanyie suprize nikamtumia 50,000 kwa kutumia wakala. Wazo likanijia nisimwambie kwanza mpka aniulize. Toka saa saba mpka saa hii bila bila na sioni dalili. Hebu kina dada nisaidieni, kama upo kwenye serious relationship na ukapokea hela aidha kwa wakala au namba ngeni, huwa unafikiria nini au unachukua hatua gani. Kama ishawahi kutokea sio mbaya kushare experience yako.
Washkaji pia sijawatenga karibuni, mnaweza kuwa na madini. Matajiri wa JF pia sijawasahau uwanja wenu.
Na kuhusu tangazo nishalipia.