Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,602
- 112,658
Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli špole sana.