Hahaha.
For'eal tho, kuna ushindi fulani nadhani kila mwanaume huwa anajisikia kama amewahi kumsaidia binti yeyote kuvuka usichana wake. My ex kila mara ananikumbusha kuwa nitabaki kuwa mwanaume special maishani mwake, sababu kubwa ni hiyo. And i beat my chest like...
Shhhhhhhhh utapewa red card tukutimulie kiumeni, kwanini watoa siri za kambi tehHahahaaaa! Kwenye hayo mambo tunawadanganyaga na mengi hata usijiaminishe, nakumbuka nishawahi kumdanganya mmoja kuwa yeye boonge la master kitandani kumbe hamna kitu kabisaaaa, akajiona boonge la mtu kumbe hovyo kabisa. Huyo anakufarijigi tu.
I guess ulimbikiri mtu basi mawazo yako wajiona Christopher Columbus unadhani nae anakuona Columbus
kumbe labda anakuwazia kama ES hapa kukushuti tu ha ha ha
I swear, namchukia sana huyo mtu serious kabisaUnaongea tu wewe.
Akija utakuwa wa kwanza kuomba mechi.
Kwa kuwa nafsi zetu hatujuani
Shhhhhhhhh utapewa red card tukutimulie kiumeni, kwanini watoa siri za kambi teh
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
Alikutoa Vibaya Ndo Mana
Aaah wapi!! Hana thamani hiyo, ukipita na thamani yako imepita.
Dah ! wewe unafanya hatari ! taratibu.
Suppose alikukuna vizuri vipi hii inakuwa ? yaani amekukuna mpaka umeliaga kama kitoto, hapewi mechi ya mrudio namaanisha ya kuchupa mara moja kuisikilizia kama imebaki.
Eeeh alitakiwa atoe kwa spana ye akatoa kwa nyundo na misumari
Hahahaaaa! Kwenye hayo mambo tunawadanganyaga na mengi hata usijiaminishe, nakumbuka nishawahi kumdanganya mmoja kuwa yeye boonge la master kitandani kumbe hamna kitu kabisaaaa, akajiona boonge la mtu kumbe hovyo kabisa. Huyo anakufarijigi tu.
Dah Hapo Ni Kinyume Chake Kua Utampa
Mi nikajua mtu anatafuta mchumba