Kwa wanawake tu

Nadhani umemchukia kwa sababu hukuwa tayari kwa muda huo, ama hukuwa tayari kufanya na yeye. Kwa maana nyingine 'alikubaka'.
Sikubakwa, sikulazimishwa I did it willingly nikiwa na akili timamu na nikadumu kwenye uhusiano
ilitokea tu I hate him mnooooo yani hata hizi story za mtoa bikra anathaminiwa nazichukia zinanikataga stimu mnooo
anathaminiwa kwa kuwa? Mi simthamini na hata nkiambiwa kumshuti sishuti kalio ntashuti kichwa
 

Hahahaaaaa!! Mimi nashuti jicho
 

Hajampata wa kumkuna vizuri akimpata atakusahau sana. So usijidanganye wanawaje wanasahau vizuri nyie endeleeni kudanganyana
 

Hajampata wa kumkuna vizuri akimpata atakusahau sana. So usijidanganye wanawaje wanasahau vizuri nyie endeleeni kudanganyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…